mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Asante sana mkuu, na pia ile radiator flush nzuri ninapata wapi?Nenda "sheli" ya Total wanazo.
Kwa Dar nenda Shekilango au Mlimani City pale wanazo. Mi nilinunua "sheli" ya Total Shekilango.
Coolant yoyote sawa tuNenda "sheli" ya Total wanazo.
Kwa Dar nenda Shekilango au Mlimani City pale wanazo. Mi nilinunua "sheli" ya Total Shekilango.
Coolant yoyote sawa tu
Aliyekudanganya kuhusu hio pole sana. Haujui wenzako wanataka kutengeneza hela kutoka kwako. Coolant yeyote ni sawa kabisa. Jifunze jinsi vehicle cooling system inavyofanya kazi ndg. Mkiwa na magari, mjifunze mechanisms ya systems zake. Mnalizwa sanaSalaam,
Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2
Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza.
Ninatanguliza shukrani.
Na kama radiator yako ina kutu. Hata hio type 2 haitasaidia. Kutu itarudi tu. Tafuta mtaalam anayesifika kwa cooling system, aifanyie kazi ili kutu isirudi once and for all.Salaam,
Kama yupo anayejua ninakoweza kupata: Honda All Season Antifreeze/Coolant Type 2
Ninaomba nisaidie. Ni muhimu sana niipate, nip Dar ila kokote ndani ya nchi ninaweza agiza.
Ninatanguliza shukrani.
Ninampata wapi mkuu?Na kama radiator yako ina kutu. Hata hio type 2 haitasaidia. Kutu itarudi tu. Tafuta mtaalam anayesifika kwa cooling system, aifanyie kazi ili kutu isirudi once and for all.
Kuna jamaa anaitwa SSnR yupo Buguruni RozanaNinampata wapi m
Ninazo za liqul Molly +255719263074Asante sana mkuu, na pia ile radiator flush nzuri ninapata wapi?