Ninatafuta Fursa ya Kujitolea kama Mwanafunzi wa Mwaka wa Mwisho katika Sayansi ya Kompyuta [Uchakataji wa Data, Machine Learning na Akili Mnemba]

Shanaly

New Member
Joined
Jun 11, 2020
Posts
3
Reaction score
11
Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine (Machine Learning), na akili mnemba (Artificial Intelligence). Ninatafuta fursa ya kufanya mazoezi ya kile nilichojifunza ili kuongeza ujuzi wangu kwa vitendo.

Ninaishi Dar es Salaam, na maeneo ya ofisi yaliyo karibu na Sinza na Ubungo yanakuwa rahisi kwangu kufika.

Mawasiliano yangu:
📧 Email: alfredbaraka287@gmail.com
📞 Simu: 0626 891 481

Asanteni, na poleni na kazi.
 
Sehemu za kufanya training hii kibongo bongo ni almost non existent ! kidogo angalau benki huwa zinaajiri watu wa data science na machine learning na ni mara moja moja sana, focus kwenye networking,Software engineering (programming) au Databasse angalau utapata kit cha kufanya.
 
Kila la heri mate
 
Yaani asome unavyovitaka wewe?
 
Sehemu za kufanya training hii kibongo bongo ni almost non existent ! kidogo angalau benki huwa zinaajiri watu wa data science na machine learning na ni mara moja moja sana, focus kwenye networking,Software engineering (programming) au Databasse angalau utapata kit cha kufanya.
Uko sahihi. Pia kama katoka familia kama zetu afanye hata kazi za saidia fundi na biashara ndogondogo wakati akisubiria kazi anayopenda
 
Kwa majina naitwa Alfred Baraka Rugoye, mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika shahada ya Sayansi ya Kompyuta. Nimejikita zaidi katika uchakataji na uchanganuzi wa data, ujifunzaji wa mashine (Machine Learning), na akili mnemba (Artificial Intelligence). Ninatafuta fursa ya kufanya mazoezi ya kile nilichojifunza ili kuongeza ujuzi wangu kwa vitendo.

Ninaishi Dar es Salaam, na maeneo ya ofisi yaliyo karibu na Sinza na Ubungo yanakuwa rahisi kwangu kufika.

Mawasiliano yangu:
📧 Email: alfredbaraka287@gmail.com
📞 Simu: 0626 891 481

Asanteni, na poleni na kazi.
Huna ndugu?
 
Back
Top Bottom