opportunist2012
Member
- Feb 8, 2012
- 92
- 9
Habari zenu wadau.Mimi ni mpya ktk ukurasa huu.Ninatafuta kazi ya kufundisha masomo ya lugha shule za private au vyuo mkoa wa Dar es Salaam.Uzoefu wangu wa kazi ni miaka 3.Vilevile ninaomba kama kuna mtu anajua mitandao ya ajira isiyokuwa ya ubabaishaji tafadhali naomba anijulishe wa e-mail topindar2012@gmail.com.Ahsanteni.