Ninatafuta kazi ya kufundisha Kiswahili na Historia

Natafuta pesa

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2022
Posts
279
Reaction score
384
Habari za muda huu.

Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.

Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na Historia.

Ninapatikana Gongo la Mboto-Dar es Salaam. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote.

Namba zangu za simu ni:- 0756-166-405.

Muwe na siku njema.
 
Mkuuu hata hujataja taaluma Yako ni ipi ila umeishia kutaja masomo ya kiswahili na historia,wewe ni mwalimu?

Kuna mtu anaweza Soma Human resources kisa kasoma history na kiswahili naye akaomba kufundisha.
 
Mkuuu hata hujataja taaluma Yako ni ipi ila umeishia kutaja masomo ya kiswahili na historia,wewe ni mwalimu!?

Kuna mtu anaweza Soma Human resources kisa kasoma history na kiswahili naye akaomba kufundisha
Shukrani kwa kunikumbusha jambo la msingi, mimi nimuhitimu wa shahada ya awali ya elimu (Bachelor of education in adult and community education)

Ndiyo mimi ni mwalimu.
 
Mkuuu hata hujataja taaluma Yako ni ipi ila umeishia kutaja masomo ya kiswahili na historia,wewe ni mwalimu!?

Kuna mtu anaweza Soma Human resources kisa kasoma history na kiswahili naye akaomba kufundisha
Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya kutafuta ajira ukimaliza kuzunguusha barua ikashindikana karibu tukupe madili ya kitaa utoboe haraka
 
Mimi nitakie kusitafu kwema,ninaelekea kusitafu Mimi,nilishaachana na bahasha miaka 20 nyuma
 
Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya kutafuta ajira ukimaliza kuzunguusha barua ikashindikana karibu tukupe madili ya kitaa utoboe haraka
Sawa ndugu nashukuru. Ninaamini kwa siku chache hizi kabla mwaka haujapinduka nitakuwa sehemu nzuri.
 
Habari za muda huu.

Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.

Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na Historia.

Ninapatikana Gongo la Mboto-Dar es Salaam. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote.

Namba zangu za simu ni:- 0756-166-405.

Muwe na siku njema.
What lessons should Tanzanians learn from the English political revolution of 1649?
 
Back
Top Bottom