Natafuta pesa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 279
- 384
Shukrani kwa kunikumbusha jambo la msingi, mimi nimuhitimu wa shahada ya awali ya elimu (Bachelor of education in adult and community education)Mkuuu hata hujataja taaluma Yako ni ipi ila umeishia kutaja masomo ya kiswahili na historia,wewe ni mwalimu!?
Kuna mtu anaweza Soma Human resources kisa kasoma history na kiswahili naye akaomba kufundisha
Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya kutafuta ajira ukimaliza kuzunguusha barua ikashindikana karibu tukupe madili ya kitaa utoboe harakaMkuuu hata hujataja taaluma Yako ni ipi ila umeishia kutaja masomo ya kiswahili na historia,wewe ni mwalimu!?
Kuna mtu anaweza Soma Human resources kisa kasoma history na kiswahili naye akaomba kufundisha
Mimi nitakie kusitafu kwema,ninaelekea kusitafu Mimi,nilishaachana na bahasha miaka 20 nyumaNakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya kutafuta ajira ukimaliza kuzunguusha barua ikashindikana karibu tukupe madili ya kitaa utoboe haraka
Sawa ndugu nashukuru. Ninaamini kwa siku chache hizi kabla mwaka haujapinduka nitakuwa sehemu nzuri.Nakutakia kila la kheri kwenye safari yako ya kutafuta ajira ukimaliza kuzunguusha barua ikashindikana karibu tukupe madili ya kitaa utoboe haraka
Umestaafu kabla hujaanza kaziMimi nitakie kusitafu kwema,ninaelekea kusitafu Mimi,nilishaachana na bahasha miaka 20 nyuma
Mungu akufanyie wepesiSawa ndugu nashukuru. Ninaamini kwa siku chache hizi kabla mwaka haujapinduka nitakuwa sehemu nzuri.
Mkuu Mimi ni mwalimu toka enzi za mkapaUmestaafu kabla hujaanza kazi
Na ikawe hivyo kiongozi.Mungu akufanyie wepesi
Hakika umeutumikia umma vya kutosha unastahili taji la heshimaMkuu Mimi ni mwalimu toka enzi za mkapa
What lessons should Tanzanians learn from the English political revolution of 1649?Habari za muda huu.
Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.
Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na Historia.
Ninapatikana Gongo la Mboto-Dar es Salaam. Nipo tayari kufanya kazi mahali popote.
Namba zangu za simu ni:- 0756-166-405.
Muwe na siku njema.