Ninatafuta marafiki (ndugu) wafanyabiashara

zakarya

Member
Joined
Nov 1, 2015
Posts
36
Reaction score
5
As Salaam alaykum wote
Ninatumai mko kati hali njema bi idni Allahi katika mwezi huu mtukufu wa ramadani.
Mimi ninapenda vitu vyote vya real eastate. Lakini bahati mbaya sioni nchini miradi ya nyumba nzuri na bei nzuri kwa watu.
Kwa mfano mradi kwa matajiri pekee au kwa wageni tu.
Kwa nini sisi hatufanyi miradi yetu weneyewe ya housing ?

Mimi nina interest na vitu hivi. Mtu anayefikiri kama mimi feel free to join me.

Ndugu zangu samahani, kiswahili changu kimeharibika sana, niliishi miaka mingi RDC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…