Ninatafuta marafiki

Ninatafuta marafiki

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.

Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika

Karibuni
 
Naona kwa mbali Usalama wa meza ya bwana unawekwa rehani
 
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.

Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika

Karibuni
watafute hawa
Mtambuzi
Madame B
Shark......utafurahia mno ilo wazo lako
 
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.

Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika

Karibuni
Mim kaz sina ko hata nikijiunga kwangu mkija sina cha kuwapa zaid ya maji nikiazima kwa jilani lakin kama mkinipa kaz hata ya ugadener nipo teari
 
Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.

Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika

Karibuni
Asee karibu huku kwetu kuna machalari yakotosha wali na vinywaji kama mbege vipo karibu sana Mkuu
 
Back
Top Bottom