Wabongo unawajua wewe!Yote maisha mkuu, Wachina wa vijijini wanalala na bata chumbani
Haaha vigoro unaweza sasambua...Sana tu tena wale ninaweza kuungana nao tukawafanyia wageni surprise ya mdundiko
HAHAHAHAH!
Sijacheka, nimeshangaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
we tualike tuje tu,
Tukitoka hapo mbiooooo kuja kukuanzishia uzi hapa
Heading "Kumbe shunie analala na ndoo za maji , majembe na unga kwenye chumba kimoja" [emoji2]
Uchochezi huo!
Nani amekwambia ucheke kihutu [emoji23]
Mwanza awajambo mama...?Ati!
Haya rafiki ushampata tayari mkuu....Hatuchezi vigodoro ule mdundiko asilia mezea mezea kiluxury Pugu Kariakoo we Jamila shillingi imekuponza
Na safari ya mwanza naomba uwe mwenyeji wangu [emoji3] [emoji3]Ati!
Then nakaribishwa....ama...?Ni watu wazima tunaheshimu maamuzi yao
kuna vidume viko nyuma ya huu mpango niamini mimiHih!!!
Baby mimi sitokwenda, wewe ndio rafiki pekee ninaemuhitaji. Unanitosha.kuna vidume viko nyuma ya huu mpango niamini mimi
Ngoja kwanza nimzuge zuge then nitakuja. Mie nitaleta maji ya kunywa.Kumbeee