mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
kwa sisi wa vigwaza je, tunaruhusiwa?Wawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
mimi ni wa40+,ngoja nimstue jirani yangu mr mshanaHakuna matabaka mradi uwe 20+
anhaaNgoja kwanza nimzuge zuge then nitakuja. Mie nitaleta maji ya kunywa.
Aiseee safi sana Good IdeaWawe na uwezo wa kujichanganya, tutakuwa tuna kutana kila Friday na kualikana kwa mmoja wetu.
Host atapika chakula na kununua vinywaji. Anaweza kutu entertain na mziki au home cinema.
Hakuna kubaguana kuwa wewe ni wa ushuwani huwezi kwenda dinner Kwamtogole na Tandika
Karibuni
Mpaka mimi shemeji ???Akhuu kwangu haji mtu tutakutana jf tu
[emoji6]Mkumbushe kumodify kuhusu kama ni mchanganyiko gender!
Mpaka mimi shemeji ???
Unaongelea nini baby?anhaa
unanipaka chupa kwa mgongo wa mafuta au sio ??
Kwa hiyo ss U20Wote mnakaribishwa dini zote above 20yrs olds wowote
Kesi ipiHatutaki kesi
Si hakuna mchango mm ni kuja na nauli yangu tu?No under 20’s
Mama gani tena? mimi nimemaanisha kuja na mtoto!Ni rotation itafika zamu yako sasa utmuomba mama yako ukaribishe wageni?
Ha hahahaMim kaz sina ko hata nikijiunga kwangu mkija sina cha kuwapa zaid ya maji nikiazima kwa jilani lakin kama mkinipa kaz hata ya ugadener nipo teari