Ninatafuta marafiki

I wish yaani.

I need a couple of mature female friends who are focused and with clear minds.

Nazeeka hivi hivi with only male friends wallahy. I don't mind at all but I guess it would be splendid to finally know what its like to have some decent female friends.

Ila wengine wanasema itanikostiπŸ™„πŸ™„πŸ™„.
 
you can try your lucky,
 
Ungeweka wazi ni idadi ipi inatakiwa mkuu ili mtu anapokubali ajue atajiandaa na msosi wa watu wangapi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila MTU aje na msosi then tunapanga mezani tunajichana mwanzo mwisho
 
Yaani kabisa nilete mvi zangu huko...? Hiyo tunawaachia vijana under 25
 
Sasa we Sky Eclat kwann unamatatizo lakini??
 
Ni PM ka uko serious,.. I need some friends too,.. sio kuwa bored n lonely huku.,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…