angel princess
Member
- May 4, 2017
- 5
- 8
Wewe sekta binafsi huitaki hadi serikalini[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Awe mrefu kidogo sio sana
Mkristo
Awe ameajiriwa serikalini na awe na akili za kutafuta Maisha.
Mwenye upendo kwa watoto wetu tutakaobarikiwa kuwapata
Ambae hajawahi kuoa
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [
Karibu.
Wasiliana na Frola Mbasha atakusaidia. Yeye anajua kuwaopoaNinatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Awe mrefu kidogo sio sana
Mkristo
Awe ameajiriwa serikalini na awe na akili za kutafuta Maisha.
Mwenye upendo kwa watoto wetu tutakaobarikiwa kuwapata
Ambae hajawahi kuoa
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [
Karibu.
Shunie usimkatishe tamaa mwenziomashartiii mengiii huku mnatafuta wachumba mitandaoni hao waserikalini wameshatumbuliwa na vyeti fake baki hapo hapo kusubili kama utampata
simkatishi tamaa mzee wa kungoa ila huo ndio ukweli kama kigezo labda anajua ndio wenye hela mbona sekta binafsi wengi wana hela hata waliojiajiri wenyewe piaShunie usimkatishe tamaa mwenzio
........ha ha ha ha.
Wa serikalini.. Mrefu kiasi... Mkristo.... Tabia nzuri ha ha ha ha ha ha ha ha ha.simkatishi tamaa mzee wa kungoa ila huo ndio ukweli kama kigezo labda anajua ndio wenye hela mbona sekta binafsi wengi wana hela hata waliojiajiri wenyewe pia
acha asubilie wa serikalini
amsubilie pm anakujaWa serikalini.. Mrefu kiasi... Mkristo.... Tabia nzuri ha ha ha ha ha ha ha ha ha.
Mshauri mwanamke mwenzio Shunie... Alegeze masharti.. ...asije akaendelea kuisoma indefinitely.amsubilie pm anakuja
Subiri hili sakata la vyeti huko serikalini liishe ndo ulete mada otherwise unaweza ukapata jamaa afu serikali ikammwaga [emoji23][emoji23][emoji23]Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Awe mrefu kidogo sio sana
Mkristo
Awe ameajiriwa serikalini na awe na akili za kutafuta Maisha.
Mwenye upendo kwa watoto wetu tutakaobarikiwa kuwapata
Ambae hajawahi kuoa
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [
Karibu.
Duh aise nyie ndo Wale mnaopata matapeli wa mapenzi kama wanawake wote wangekuwa kama ww kusingekuwa na ndoa kbs duniani unasubiri sana kupata mume mwenye ivyo vigezo ushauri wangu kwako achana na mambo ya kijinga kama hayo we omba Mungu akupe mume bora sio wewe uanze kuchagua aina ya mume ukiendelea na hiyo tabia unaisikia ndoa kwa wenzako tyu
Npo tayar mama tuwasliane tujenge malengoNinatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Awe mrefu kidogo sio sana
Mkristo
Awe ameajiriwa serikalini na awe na akili za kutafuta Maisha.
Mwenye upendo kwa watoto wetu tutakaobarikiwa kuwapata
Ambae hajawahi kuoa
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [
Karibu.
Kuwa serious ili tuwe mfano wa kuigwa maana wengi huwa hawaamin mapnz ya mitandaonNinatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.