Ninatafuta mchumba wa kike

LUSHEPELEJA

Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
53
Reaction score
22
Awe na umri kati ya miaka 21-26,mkristo wa kanisa katoliki, elimu yoyote, awe tayari kuolewa, mwenye ajira hata asiyeajiriwa, kabila lolote ili mradi ana maadili mema, niko tayari kuoa, mi ninamtoto mmoja, ni mwajiriwa wa serikali, mwenye uhitaji naomba anifuate inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wale mnaodai siku hizi hakuna wanaume waoaji kazi kwenu sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…