Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaa wa Msimbazi Ingia aggrey au ule mtaa unaofuata kuelekea Minazi mmoja then kuna kimtaa kifupi wanauza mapafyumu na maduka ya SAA hapo hapo, utapata mkanda.Ndugu watanashati habari,
Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?
View attachment 2474845
Agiza Aliexpess wiki 2 unapokea mzigoNdugu watanashati habari,
Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?
View attachment 2474845
Asante sanaMtaa wa Msimbazi Ingia aggrey au ule mtaa unaofuata kuelekea Minazi mmoja then kuna kimtaa kifupi wanauza mapafyumu na maduka ya SAA hapo hapo, utapata mkanda.
Ukiona mitaa inakuchanganya hapo Msimbazi waulize mafundi SAA watakuelekeza wote wanajuwa maduka ya SAA hapo sehemu gani, ni kumtaa kifupi tu.
Wiki mbili uje na ndege au? Hawana delivery ya haraka hivo usipotoshe ummaAgiza Aliexpess wiki 2 unapokea mzigo
AliExpress ni wiki mbili unapata mzigo mimi ni fundi simu niko Dodoma naagiza mizigo sana AliExpress na ni wiki mbili tu napokea mzigo wanguWiki mbili uje na ndege au? Hawana delivery ya haraka hivo usipotoshe umma
Rejea hapo boss hizo wiki mbili zinakuwajeAliExpress ni wiki mbili unapata mzigo mimi ni fundi simu niko Dodoma naagiza mizigo sana AliExpress na ni wiki mbili tu napokea mzigo wanguView attachment 2492481
Kama hujui vizuri masuala ya online purchase kubali kufundishwa sio kuishi kwa maandishi . SASA NAKUAMBIA ATA LEO AKIMWAMBIA SELLER ASHIP NA SPEEDAF TAREHE 11 ANAENDA NAO BAA JIONI BILA SHAKARejea hapo boss hizo wiki mbili zinakuwajeView attachment 2499620
Kiongoz naomba kujua hapa dodoma office za speedaf zipo wapiAliExpress ni wiki mbili unapata mzigo mimi ni fundi simu niko Dodoma naagiza mizigo sana AliExpress na ni wiki mbili tu napokea mzigo wanguView attachment 2492481
Ndo maana ya kuuliza kwa kutuma picha.Kama hujui vizuri masuala ya online purchase kubali kufundishwa sio kuishi kwa maandishi . SASA NAKUAMBIA ATA LEO AKIMWAMBIA SELLER ASHIP NA SPEEDAF TAREHE 11 ANAENDA NAO BAA JIONI BILA SHAKA
Small percels zisizo na kilo nyingi au hata zenye kilo nyingi as long as hazitokucost kwenye kuumboa we always opt. for airplane kwa sababu ukitumia meli itaenda more than a month.