Ninatafuta mkanda wa saa wa ukweli

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ndugu watanashati habari,

Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?

 
Ndugu watanashati habari,

Ninatafuta mkanda wa saa kama huo pichani. Si lazima nipate kama huo bali kama naweza kupata mkanda mzuri wa ngozi. Niende duka lipi hapa Dar?

View attachment 2474845
Mtaa wa Msimbazi Ingia aggrey au ule mtaa unaofuata kuelekea Minazi mmoja then kuna kimtaa kifupi wanauza mapafyumu na maduka ya SAA hapo hapo, utapata mkanda.

Ukiona mitaa inakuchanganya hapo Msimbazi waulize mafundi SAA watakuelekeza wote wanajuwa maduka ya SAA hapo sehemu gani, ni kumtaa kifupi tu.
 
Asante sana
 
Kama hujui vizuri masuala ya online purchase kubali kufundishwa sio kuishi kwa maandishi . SASA NAKUAMBIA ATA LEO AKIMWAMBIA SELLER ASHIP NA SPEEDAF TAREHE 11 ANAENDA NAO BAA JIONI BILA SHAKA
Ndo maana ya kuuliza kwa kutuma picha.
 
Nenda Mlimani city kuna duka saa la mdosi mmoja ana mikanda ya aina yote
 
Rejea hapo boss hizo wiki mbili zinakuwaje


View attachment 2499620
Small percels zisizo na kilo nyingi au hata zenye kilo nyingi as long as hazitokucost kwenye kuumboa we always opt. for airplane kwa sababu ukitumia meli itaenda more than a month.
Yes two weeks mzigo unakuwa umefika Dar es salaam kwa njia ya ndege ila tu kama unaagiza vifaa vye battery huwa vinaexceed zaidi ya wiki mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…