Ninatafuta mume

Ninatafuta mume

Joined
May 4, 2017
Posts
5
Reaction score
8
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Mkristo
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [emoji395]
Karibu.
 
Bahati hiyooo.......ngoja nijaribu.
 
Nmm natafut mke ila umri ndo umenifelisha apo
 
hongera yako atleast unatafuta mume wa ndoa, kuna wengine eti wanatafuta ma boyfriend
 
Kazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]
Usisahau kwenda kuthibitisha cheti chake pale NECTA
 
Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Mkristo
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [emoji395]
Karibu.
Me tyar nna queentricia, asante! Karibu tena,
 
Back
Top Bottom