angel princess
Member
- May 4, 2017
- 5
- 8
Kazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]mrembo wewe hujaweka kipengele cha awe na kazii😀😀😀😀😀
Usisahau kwenda kuthibitisha cheti chake pale NECTAKazi naomba ujiongeze tu, maisha now days ni kusaidiana so kazi yoyote halali kwangu njoo nayo tu, unizidi kipato, na elimu yako unizidi. Karibu [emoji395]
Kwani alikuwa anatembea/anakimbia mpaka aruke??salary mbona umeruka??
Me tyar nna queentricia, asante! Karibu tena,Ninatafuta mchumba tuje tufunge ndoa, awe serious kweli ,elimu yangu ni diploma Nina miaka 25.
Ninatarajia nimpate mchumba mwenye cfa zifuatazo
Mwenye upendo wa dhati
Mwenye kunijali mm na familia yangu
Mtanashati
Anizidi umri asipungue wa kwangu
Mcha mungu
Mkristo
Kwa aliye serious please.
Tabia zingine tutaelekezana [emoji395]
Karibu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimekosa hapo kwenye upendo wa kweli, maana in Mungu tu ndo anaupendo wa kweli, binadamu wote tupo after something