Ninatafuta mume

fijo

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
14
Reaction score
17
Habari wana JF,

Mimi ni mwanamke mwenye miaka 36.

Ninatafuta mpenzi mwenye upendo wa dhati atakayekuwa mume wangu.

Sifa zake
Umri: 37-45
Dini: Mkristo
Elimu: kidato cha sita na kuendelea
Kipato: Kaajiriwa / kajiajiri.

Ninawakaribisha PM kwa mawasiliano zaidi.

Ninatanguliza shukrani zangu kwa wote watakaojitokeza.
 
Bado kidogo tu ningechukua jiko...!
 
Mpaka saizi miaka yote hiyo hujaolewa???? Duh! Kweli mambo yanabadlika,, halafu tena unaweka mashart ya awe amefika form six! Hapo inatakiwa uombe kama msaada tuuu mtu akuhurumie akuoe
Asante kwa ushauri
 
Mpaka saizi miaka yote hiyo hujaolewa???? Duh! Kweli mambo yanabadlika,, halafu tena unaweka mashart ya awe amefika form six! Hapo inatakiwa uombe kama msaada tuuu mtu akuhurumie akuoe
hhahahahaaaa kabisa
huyu wa kuhurumia tu bt tc too late
 
Hi uko wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…