Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini

Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Ninawasalimieni.

Ninatafuta nyumba ya kupanga Dodoma Mjini, sifa ni hizi zifuatazo:

1. Bajeti 250,000/= mpaka 300,000/=
2. Muda wa kulipa ni miezi mitatu au chini yake.
3. Mahali-:Area A, Area C, Area D, Makole, Meriwa.

Yuke yuko na access na hiyo kitu, karibu inbox!
 
Kaka habari ulifanikiwa kupata nyumba kwa bei hiyo kwa maeneo tajwa??
 
Back
Top Bottom