jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,877
- 10,214
nilipata bossUkipata nishtue na mimi mkuu mimi bugjet yangu kidogo ndogo 4.7m porte no d
Sent using Jamii Forums mobile app
nilipata boss
kuna nyingine ya 5m pia namba d kama utaitaka
0623953036
Kwa bei hiyo unapata vitz na passo zipo ila nyingi ni piston 3Mambo niaje mtata Jerry!
Naomba unipe ushauri. Nimeona wewe unajihusisha na magari used.
Nimejipinda sana hatimaye mfukoni nina 5.0Mil.
Nahitaji gari dogo used (najua kutoka nje kwa bajeti hiyo ni ndoto)
Tuseme Passo, Vitz, Racits, Allex, Runx, Mazda.
Naweza pata gari nzuri kwa pesa hiyo?
Kumbuka hiyo 5 mil. inajumuisha Bima na kila kitu. Yaani mie nibaki kunyonga funguo tu.
nilipata boss
kuna nyingine ya 5m pia namba d kama utaitaka
0623953036