Habari wana jamvi ninahitaji vifaranga vya kuku mwezi mmoja chotara au black leghon ambavyo vimeisha pata chanjo na vimeifadhiwa vizuri.
Ninaomba kama unaweza kuvipata au unajua kitalu kizuri kilipo tuwasiliane, location nipo Kinondoni Mabwe Pande. Bei tutaelewana asante sana ni kwa Dar pekee na eneo lisiwe nje ya wilaya ya Kinondoni.