Ninatafuta!!

Joined
Dec 22, 2011
Posts
26
Reaction score
1
kakaz mi ni mdada wa kawaida tu ila ukishaniona utadhani mi wa ajabu, na natafuta marafiki wa jinsia ya kiume wa kuanzia miaka 31 na kuendelea....! sana sana wafanyabiashara na ambao wanaweza kuni inspire nifanye kazi zangu maana nimeajiriwa kwenye kampuni moja hivi.so interested....lay yo numeros basi tuanze urafiki... sio uhusiano wa kimapenzi tafadhalini.

shukran!
 
huku wanapenda tu urafiki wa kimalavidavi nilishatafuta rafiki wa kawaida hawataki
 
Haya ma Kaka mkupiiii offer ndio hiyo lakini wafanya biashara tuuuuuuuuu! wengine apana.
 
Wewe bora utafute wale chini ya 30 mana wa 31+ watakuwa na experiance za kuiba-na hauta pata kitu.
 
umri huo wengi ni waume za watu
unataka mchanganye biashara zenu?
 
ndio nataka nichanganye biashara...mi mwenyewe mdada wa mtu.. eh basi naona nimeweka kikwazo, basi hata wale waajiriwa na waajiri mnaweza tuma....nipo banaa
 
Na sie tunaofanya kazi white house haututaki?
 
Mie mganga wa kienyeji.
Nipe nafasi
OTIS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…