Mr SGR
Member
- Apr 8, 2021
- 60
- 38
Wandugu hapa jamvini nadhani mnaendelea kutafuta ugali wenu wa kila siku. Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi nchini nimefuatilia nafasi nimeambiwa ipo kumcheki HR kakaza anasema hamna.
Naombeni mwenye idea ya nini cha kufanya kama ni kupitia utumishi au idea nyingineyo nakaribisha maoni wakuu.
Naombeni mwenye idea ya nini cha kufanya kama ni kupitia utumishi au idea nyingineyo nakaribisha maoni wakuu.