Mkono mtupu haulambwi.Muone personal hakika atakusaidi,hakuna mkate mgumu kwenye chai,elewa neno mkate
Bro digba sowey fanya kitu mwananguSasa hapo mkuu mbona njia ipo wazi kabisaa ongea nae kiutu uzima.....
"maongezi ya kiutu uzima" au muombe bro digba sowey akupe abc 😂😂😂
Muite "chemba" ikikubidi kupasuka "PASUKA.." Ili mambo yako yaende kama unavyotakaNi mfumo sawa ila inakuaje pale taasisi unayoomba kuhamia wanakwambia hawana nafasi?
Sio rahisi kama unavyo tegemea au labda useme unataka kuhamia kwenye kada ipi kwenye ayo mashirika.Mojawapo ya hayo mkuu nipe hints nianzie wapi
Daah mkuu mimi ni jobless asee[emoji2], mwenyewe napambaniaMojawapo ya hayo mkuu nipe hints nianzie wapi
Vipi HR amekubali kukusainia..?Wandugu hapa jamvini nadhani mnaendelea kutafuta ugali wenu wa kila siku. Ninataka kuhamia shirika moja la uhifadhi nchini nimefuatilia nafasi nimeambiwa ipo kumcheki HR kakaza anasema hamna.
Naombeni mwenye idea ya nini cha kufanya kama ni kupitia utumishi au idea nyingineyo nakaribisha maoni wakuu.