Ninataka kujua aina gani ya biashara ya kutembeza ina maokoto kiasi fulani

Joined
Aug 21, 2023
Posts
8
Reaction score
8
Nina vijana kadhaa nimewaajiri kwenye biashara ya kutembeza mayai ya kuchemsha. Sasa kuna wakati biashara iko vizuri kuna wakati inayumba

Nilikuwa nataka nijaribu kujua biashara zingine za kutembeza ili wengine wajaribu kufanya hizo hata wakati soko upande mmoja limeyumba tunaweza kufanya upande mwingine
 
Biashara ya kuuza maji na soda katika stendi za mabasi hasa wakati wa jua kali

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Aisee wew ndio unawwajiri vijan wakusambazie mayai kwa ujira ya elf 2000 kwa siku
 
Mpe heshima yake mkuu, wewe umeajiri vijana wangapi na unawalipa sh ngapi?
Viwandani watu wanalipwa mpaka 3000 kwa siku, hapo haujala, bado nauli n.k, wanabaki na nini?
So mpe jamaa heshima yake kwa kutoa ajira kwa madogo.
 
Back
Top Bottom