Samuel Malenda
Member
- Aug 21, 2023
- 8
- 8
Biashara ya kuuza maji na soda katika stendi za mabasi hasa wakati wa jua kaliNina vijana kadhaa nimewaajiri kwenye biashara ya kutembeza mayai ya kuchemsha. Sasa kuna wakati biashara iko vizuri kuna wakati inayumba
Nilikuwa nataka nijaribu kujua biashara zingine za kutembeza ili wengine wajaribu kufanya hizo hata wakati soko upande mmoja limeyumba tunaweza kufanya upande mwingine
Mpe heshima yake mkuu, wewe umeajiri vijana wangapi na unawalipa sh ngapi?Aisee wew ndio unawwajiri vijan wakusambazie mayai kwa ujira ya elf 2000 kwa siku