Kindimbajuu
JF-Expert Member
- Jul 8, 2009
- 710
- 247
kwani amekutaja jina??, yeye amesema "kimeo huyu", kwani huyu ndo wewe?????. haya mambo ni ya kawaida, akikolea atabadili jina toka kimeo mpaka asali. koleza minjonjo , ili uwe upandishwe cheo toka kimeo mpaka asali au mpenziYaaani umeomba ki date na mwanamke akafika na shosti yake, mkala misosi, mkanywa, ukalipa bili. Baada ya hapo inaingia sms, "ninataka kumkimbia kimeo huyu", mwanamke alikuwa anamtumia shosti wake akajisahau akakutumia wewe.
Ungefanyaje hapo............???
hahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaa nimeipenda kweli hii duh!
i wish i was you meeeeeeeeeeeeeeeeeeen............mana nami ningemjibu umejuaje ka na mm najiona ka nimeingia choo cha kike mana mtoto uko ka mjusi kabanwa na mlango
Kumbe kidate nacho ni zinaa !!Hiyo inakuambia uowe uache zinaa.
hiyo itakua ni chance moja kubwa sana ya kumpata kwa sababu tayari atakua hana confidence....then kwa hasira nitamega wote wawili then mwendo mdundo
Unamjibu mi mwenyewe nilikua na mpango wa kukimbia.
Unamlipia bili lakini? au uhnamwacha alipe mwenyewe?
Kumbe kidate nacho ni zinaa !!
Nijuavyo Mimi unatafuta mchumba kwanza halafu ndoa inafuta.
Samahani Kama ntakukwaza, mama uliletetewa mume nini?
bora amekosea ukamjua mapema chapa zako lapa
Unamjibu mi mwenyewe nilikua na mpango wa kukimbia.
sasa mbona yy kamuambia mwenzie kimeo loh! ww asiombe uchungu wa kuchunwa ukukute aiseesasa kuwa kama mjusi kubanwa na mlango si matusi haya jamani!!!, mwenzeno alikuwa anaimbisha , wewe unamshauri atukane, si ndo angekosa kabisa. hapo ni kuvumilia tu, ili ule mbivu. alafu vya kusotea mazingira magumu ni vitamu!!