Ninataka nijue status za wana JF hawa baada ya mechi ya Ngao ya Jamii

Usishangae hao ndio kawaida yao kutoa nadhiri ambazo hawawezi kutimiza.Mmoja anaitwa Kindoki aliweka mke walipofungwa akaanza kulia aonewe huruma. Hizo ndio zao ndio maana huwa wazito sana kukubali matokeo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…