azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Hi
Watu wengi huwa wana jiuliza kwa nini wa Tanganyika hawapendi kuitwa "watanganyika" wanapenda kuitwa wa tanzania bara wakati wa Zanzibari wao wanapenda kuitwa wa Zanzibari wakiwa ndani ya Tanzania hata ncje ya Tanzania.
Baadhi ya wachangiaaji wengi wa wakitanganyika hutoa hoja kwa nini tunashindania majina ya Zanzibar au Tanganganyika wakati majina yenyewe yametokana na wakoloni?
Hoja/ masuala hizi/haya mara nyingi huwa hayana majibu rahisi lakini mimi kama Mzanzibari nitajaribu kujibu kama vile hisia na akili yangu inavyo nielekeza.
Historia ya majina haya, watu wengi hususan wa Tanganyika hawafahamu historia ya Zanzibar na huwa wanafanya mlinganisho usio sahihi na nchi nyengine zilizopo hapa Afrika na ulimwenguni, Tanganyika ilitokana baada ya Mkutano wa kuigawa Afrika na jina wenyewe la Tanganyika lime itwa na Wakolono. lakini kwa Upande wa Zanzibar jina la Zanzibar lilikuwepo kabla ya BERLIN CONFRENCE na kabla ya hapo Utawala wa Zanzibar ulitwala eneo lote la mwambao wa Afrika Mashariki kutoka Visiwa vya Zanzibar, Dar es sallam, Bagamoyo, Tanga, Mombasa,Mtwara nk maeneo yote hayo yalikwa ni sehemu ya Zanzibar na mjii mkuu ulikuwa Zanzibar " refer Zanzibar Empire " baada ya mkutano wa Berlin Zanzibar haikugaiwa ispokuwa ilipunguziwa idadi ya maeneo iliyokuwa wanayamiliki iki andelea kupunguzwa na wakoloni mpaka kubakia eneo la sasa hivi .kwa hivo Zanzibar haijawahi kubadili/ kubadilishwa jina na wakolni kama Tanganyika.
Kwa sababu hii tu, Wanzanzibar hawapendi kuiona Zanzibar inapotea ijapokuwa Julius Nyerere alikuwa na mikakati mizuri ya kuhakikisha kwamba one day Zanzibar inapotea kwa kubakia jina tu kama majina mengine, lakini bahati mbaya amefariki kabla ya kufanikisha adhma yake hiyo kwa hiyo ni vugumu kumpata kio ngozi mwengine wa Tanganyika atakae fanikiwa ndoto za J.K Nyerere .
kwa hio ukio ndosha tatizo la kiuchumi sababu kubwa ambayo wazanzibar hawatotaka serekali moja mpaka jina Zanzibar lipewe hadhi yake kitaifa na kimataifa.
Na kuhusieni wa Tanganyika tumieni jitahada zote ku ulinda Muungano hata kwa kutumia nguvu za kijeshi kwani kuvunjika kwa muungana hamna uhakika wa kuendelea kumilika mikoa ya pwani kwani kuna probability kubwa kuwa ushahidi wa Zanzinzibar wa kumiliki ukanda wa pwani ikiwemo mji wa Dar salam, Mombasa, Mtwara nk.
Wazungu wanasema historia huwa inakawaida ya kujirudia na hofia siku moja baada ya Zanzibar kuwa dola kamili (kama mtafanya kosa kuruhusu hilo) Tanganyika mtabakia na eneo lilopelekea kuitwa jina lenu na wakoloni, JK Nyerere aliliona hili na ndio maana alipendelea mji mkuu uwe Dodoma.
sulihisho
Mimi na hisi wa Tanganyika mukubali kuwa jina la Tanzania/Tanganyika lifutwe na eneo lote la Tanzania liwa linaitwa Zanzibar, kwa hio tuwe na serekali moja nchi moja na makao makuu ya serekali yawepo Zanzibar, kwa upande wangu na hisi mukikubali hivyo kutakuwa na serekali moja nchi moja lakini kama hamja kubali hivo Tanganyika itabeba gharama ambazo hawakuzitarajia .
sisi wazanzibar tumetengenezewa ubaguzi na wakoloni wa kizungu na unaendelezwa na wakoloni wa kitanganyika lakini sisi tunajijua kuwa Mzanzibari inajumuisha watu wa visiwa vya Zanzibar na watu wa mwambao wa Afrika Mashariki.
na tutawala tena maeneo yote kama tu, tutakuwa huru alafu mfumo wa dini ukiwa utafuatwa katika usimamizi wa haki na wajibu kama Zanzibar itafanikiwa hivyo mapande ya maeneo yaliyopokwa na wakoloni kutoka Zanzibar yatarejea yenyewe kama ilivyo kwa CREMEA.
maoni yangu tu na wasilisha matusi si usaarabu