Inabidi kwanza uanze kufanya Space Research.Tafuta Pesa Kidogo Ununue Telescope,Nunua PC install Application za Space,Anza kuangalia Anga hasa usiku ili uone movement na position za objects mbalimbali.Chapisha Vile unavyoona Angani kwa kutumia lugha ya kiswahili kisha ujenge nafasi na jina katika jamii yenye wenye hamasa na masuala ya Space.Unaweza kuwa unaweka Picha ya hali ya Anga kwa siku husika au hata video ili kuvutia zaidi ya hadhira.Kuanzisha space research organization
Ahsante sana mkuu naanza kufanyia kazi ushauri wako kuanzia sasa na nikihitaji ushauri zaidi nitakutafutaInabidi kwanza uanze kufanya Space Research.Tafuta Pesa Kidogo Ununue Telescope,Nunua PC install Application za Space,Anza kuangalia Anga hasa usiku ili uone movement na position za objects mbalimbali.Chapisha Vile unavyoona Angani kwa kutumia lugha ya kiswahili kisha ujenge nafasi na jina katika jamii yenye wenye hamasa na masuala ya Space.Unaweza kuwa unaweka Picha ya hali ya Anga kwa siku husika au hata video ili kuvutia zaidi ya hadhira.
Kama kweli una nia utaanza kufanyia kazi huu ushauri bali ya kuendelea kutamani kuanzisha SRO.
Wasiliana na vyuo hapa Tanzania kama UDSM na Nelson Mandela ili uone kama wana kitengo cha SPace Studies ili upate kampani ya watu wenye interest kama hakuna unaweza kuanzisha tu kama club ndani ya vyuo vikuu ili upate zaidi following kutoka kwa Academia ambao ndio moyo wa Space.
Ukishindwa kufanya hivyo vyote.Basi Anzisha X handle ya Tanzania Space Program kisha umfollow Elon Musk,NASA,SpaceX,ESA etc Wakikufollow back unakuwa Tayari umepiga hatua moja kubwa sana ndani ya muda mfupi.
Tembelea hizi links ujifunze zaidi
PM for more detailsTanzania
SGAC Tanzania National Points of Contact Tanzania Welcome to the SGAC Tanzania page Tanzania is considered one of the pioneers of the development of space exploration and Earth observation in Africa. Although we do not yet have an official Space Agency, we have contributed to the African...spacegeneration.org
Lile Dili lenu la kariakoo kiganjani limeishia wapi 😆Inabidi kwanza uanze kufanya Space Research.Tafuta Pesa Kidogo Ununue Telescope,Nunua PC install Application za Space,Anza kuangalia Anga hasa usiku ili uone movement na position za objects mbalimbali.Chapisha Vile unavyoona Angani kwa kutumia lugha ya kiswahili kisha ujenge nafasi na jina katika jamii yenye wenye hamasa na masuala ya Space.Unaweza kuwa unaweka Picha ya hali ya Anga kwa siku husika au hata video ili kuvutia zaidi ya hadhira.
Kama kweli una nia utaanza kufanyia kazi huu ushauri bali ya kuendelea kutamani kuanzisha SRO.
Wasiliana na vyuo hapa Tanzania kama UDSM na Nelson Mandela ili uone kama wana kitengo cha SPace Studies ili upate kampani ya watu wenye interest kama hakuna unaweza kuanzisha tu kama club ndani ya vyuo vikuu ili upate zaidi following kutoka kwa Academia ambao ndio moyo wa Space.
Ukishindwa kufanya hivyo vyote.Basi Anzisha X handle ya Tanzania Space Program kisha umfollow Elon Musk,NASA,SpaceX,ESA etc Wakikufollow back unakuwa Tayari umepiga hatua moja kubwa sana ndani ya muda mfupi.
Tembelea hizi links ujifunze zaidi
PM for more detailsTanzania
SGAC Tanzania National Points of Contact Tanzania Welcome to the SGAC Tanzania page Tanzania is considered one of the pioneers of the development of space exploration and Earth observation in Africa. Although we do not yet have an official Space Agency, we have contributed to the African...spacegeneration.org
Inabidi kwanza uanze kufanya Space Research.Tafuta Pesa Kidogo Ununue Telescope,Nunua PC install Application za Space,Anza kuangalia Anga hasa usiku ili uone movement na position za objects mbalimbali.Chapisha Vile unavyoona Angani kwa kutumia lugha ya kiswahili kisha ujenge nafasi na jina katika jamii yenye wenye hamasa na masuala ya Space.Unaweza kuwa unaweka Picha ya hali ya Anga kwa siku husika au hata video ili kuvutia zaidi ya hadhira.
Kama kweli una nia utaanza kufanyia kazi huu ushauri bali ya kuendelea kutamani kuanzisha SRO.
Wasiliana na vyuo hapa Tanzania kama UDSM na Nelson Mandela ili uone kama wana kitengo cha SPace Studies ili upate kampani ya watu wenye interest kama hakuna unaweza kuanzisha tu kama club ndani ya vyuo vikuu ili upate zaidi following kutoka kwa Academia ambao ndio moyo wa Space.
Ukishindwa kufanya hivyo vyote.Basi Anzisha X handle ya Tanzania Space Program kisha umfollow Elon Musk,NASA,SpaceX,ESA etc Wakikufollow back unakuwa Tayari umepiga hatua moja kubwa sana ndani ya muda mfupi.
Tembelea hizi links ujifunze zaidi
PM for more detailsTanzania
SGAC Tanzania National Points of Contact Tanzania Welcome to the SGAC Tanzania page Tanzania is considered one of the pioneers of the development of space exploration and Earth observation in Africa. Although we do not yet have an official Space Agency, we have contributed to the African...spacegeneration.org
Mkuu,halijaisha,kwa nini nimehisi kwamba ulielewa vizuri na unatamani lifanikiwa ila una kiwango kikubwa cha mshaka?Anyway liko tayari nalifanyia kazi na tayari nimeshapata developers watatu so ni suala la kuweka resources zote sawa tuLile Dili lenu la kariakoo kiganjani limeishia wapi 😆
Ushatusua wew. Nitaleta CV mniajir jack ma, hiyo ni Alibaba ndan ya bongoMkuu,halijaisha,kwa nini nimehisi kwamba ulielewa vizuri na unatamani lifanikiwa ila una kiwango kikubwa cha mshaka?Anyway liko tayari nalifanyia kazi na tayari nimeshapata developers watatu so ni suala la kuweka resources zote sawa tu