Ninatamani kula wakati wote na huwa napata njaa masaa machache tu baada ya kula, nina tatizo gani?

Hio ni moja ya dalili ya kisukari...Kama pia unapata kiu Sana na unakojoa Mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…