Mimi mstaarabu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 262
- 577
Kabakishwa mmoja tu ana 4.7.MU hawakukubakisha?
Jisajili TaESA, then indicate your address kama ni Dodoma au Morogoro, then fuatilia chuo husika waambie unahitaji waombe internship then you can get it, then utafanya kazi kama TA then unasave hela unayolipwa then unaunga masters then inakua rahisi kupata kazi sasa ya u lecturerNdugu zangu,
Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.
Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto yangu hii.
Kwahiyo nifanye nini ili niifikie ndoto hii na sina connection yoyote.
KwannMkubwa mbona kama vile bado uko mwaka wa kwanza
Ndugu zangu,
Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.
Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto yangu hii.
Kwahiyo nifanye nini ili niifikie ndoto hii na sina connection yoyote.
Kwa sasa sina pesaSoma PhD kabisa. Achana na masters. MaPhD mahitaji bado ni makubwa kwenye taifa letu.
Hujaamua tu kusoma kwa sasa hivi.Kwa sasa sina pesa
Tafuta scholarshipKwa sasa sina pesa
Huna 'connection' yoyote? Umewezaje kutuma hii msg! Mfyuuuuu!Ndugu zangu,
Mimi ni ndugu yenu nimemaliza chuo mwaka huu nina Degree ya Human Resource Management. Nimesomea Morogoro Mzumbe nina GPA ya 4.2.
Kwa muda mrefu nilikua natamani sana kuwa mwalimu wa chuo kikuu kwa hiyo natamani kupata mawazo yenu kwamba kwa jinsi gani nitaweza kufanikisha ndoto yangu hii.
Kwahiyo nifanye nini ili niifikie ndoto hii na sina connection yoyote.
Sikusoma na mkopoBado miezi 24 bodi ya mkopo waanze kudai chao!