Ninatibu magonjwa ya tabia

Ninatibu magonjwa ya tabia

Upendomia

Senior Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
121
Reaction score
13
NINATIBU MAGONJWA YA TABIA
Habari wanajamii

Napenda kutangaza huduma yangu kwa wale wenye matatizo yafuatayo:

1. Watu wazima waliopalalaizi, nawafanyia mazoezi (masaji) na kupewa dawa zinazotokana na vyakula vya asili.

2. Watoto wadogo waliozaliwa na ulemavu nao nawafanyia mazoezi na kupewa dawa asilia.

3. Wenye magonjwa ya kisukari, moyo kuwa mkubwa, presha ya kupanda na kushuka, vidonda vya tumbo, asthma/pumu, taifodi, malaria sugu kwa watoto na watu wazima, uzito/unene kupita kiasi na magonjwa mengine mengi.


NIPO DAR ES SALAAM LAKINI NAHUDUMIA PIA WALIOKO MIKOANI.
Nafanya shughuli hizi nyumbani kwa mgonjwa/mwenye tatizo.

Nipigie: +255714755582 (Dada upendomia).
Wengi niliowahi kuwatibu wamepona.
 
Mbona babu wa Loliondo hakujitangaza?
 
Ahsante dada kwa huduma,nitakupigia baadae!
 
Swali nzuri ndugu, nipo tayari nikupe dawa bila kulipia ukipona utalipa na utakuja kutoa ushuhuda hapa. Unaumwa nini ndugu?. 0714755582

nisipopona unarudisha pesa. kwa maneno mengine: una guarantee?????
 
Back
Top Bottom