Kabla sijaja,naomba nijibu maswali yafuatayo.
Mfuko wa Nyongo ukijaa mawe unatakiwa upasuliwe na uondolewe,naomba utuambie mawe ambayo yamo humo tayari yapo unayahamishia wapi? Au dawa yako inafanya mechanism gani ili kisilete shida ikijaa?
Kisha tutakuja.