Ninaumia moyo kila ninaposikia serikali ya Tanzania imeagiza ndege mpya ya biashara

Hiyo mikataba alishasaini yule mbwa aliyekufa na akala cha juu,tuko katika utekelezaji tu, SSH wala asilaumiwe
je wewe ungefurahi kama mzazi wako angeitwa hivyo? Tuwe wastaarabu jamani hata kama hatumpendi mtu lakini tumuwekee heshima yake.
 
Samia hajatuambia wale wezi walipogiga $49m walichukuliws hatua gani?
 
Hata were ungekua raisi ungefanya hayo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…