Ninaumwa mimba

Ninaumwa mimba

mbogyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
231
Reaction score
100
Mke akiwa namimba je mume anaweza ku experience baadhi yamabadlko yatokanayo na mimba hiyo km vile uchovu,kchefchef n.k?
 
Mke akiwa namimba je mume anaweza ku experience baadhi yamabadlko yatokanayo na mimba hiyo km vile uchovu,kchefchef n.k?

:becky::becky: dawa yake uwe unaweka kalai au beseni la maji uvunguni huwa nasikia hivyo
 
ndio anapata mabadiliko. Tena huwa mbaya zaidi kwa wale wanaopenda kula vyakula vilivyobakizwa na mama mjazito.
 
ndio anapata mabadiliko. Tena huwa mbaya zaidi kwa wale wanaopenda kula vyakula vilivyobakizwa na mama mjazito.

:becky::becky: kwa makombo ya mama mjamzito siyo ya kula baada ya urutubisho
 
Mke akiwa namimba je mume anaweza ku experience baadhi yamabadlko yatokanayo na mimba hiyo km vile uchovu,kchefchef n.k?

Inawezekana Mimba huambukizwa kwa wanaume!. Kama unajisikia uchovu na kichefuchefu huenda una minyooo, mwone daktari. ni ukiwa unamsindikiza mke yako hospital ndo utumie huyo nafasi kueleza dalili zako
 
Mke akiwa namimba je mume anaweza ku experience baadhi yamabadlko yatokanayo na mimba hiyo km vile uchovu,kchefchef n.k?

Mkuu, jinsia yako ni ipi?..maana umetaja "unaumwa mimba"..lakini ningependa kusema;

Mimba/Ujauzito siyo ugonjwa au tatizo, bali ni hali ya kawaida ya Fiziolojia kutokea kwa mwanamke pale mbegu ya kiume na yai/mayai ya mwanamke kukutana na mimba kutungwa katika mfuko/tumbo la uzazi.

Kuna baadhi ya matatizo kadhaa yanayoweza kutokea/kujitokeza na hivyo kufanya mwanamke kuugua haya ni kuzidi kujitokeza kwa hali ya dalili za ujauzito mf. kutapika, kupata shinikizo la damu, kifafa cha mimba, mimba kutungwa nje ya uzazi n.k

Magonjwa haya yanayoweza kujitokeza wakati wa Ujauzito na SI UJAUZITO WENYEWE..hayaambukizwi kwa mwenza(mwanaume).

Hivyo, mwanamke mjamzito si mgonjwa..huyu hospitalini tunamuita Client na si Patient.Na hali hii ya dalili za mimba zitokanazo na vichochezi(hormones) haiambukizwi.
 
Back
Top Bottom