Ninaumwa wana JF wezangu maombi yenu tafadhali nisije kata moto

Saiv naendelea vizur

Nimekunywa dawa saa moja na nusu vp naweza kunywa maziwa saiv na nisiharibu doz mkuu
Usijaribu !!! Pia usiguse papuchi kwa muda ili kumaintain tricaboxylic acid cycle for generation of energy !!! BE STRONG YOU ARE A MAN
 
Usijaribu !!! Pia usiguse papuchi kwa muda ili kumaintain tricaboxylic acid cycle for generation of energy !!! BE STRONG YOU ARE A MAN
Kwahiyo hata maziwa nisinywe mkuu maana mimi nilijua baada ya masaa manne dawa itakuwa ishafanya kaz hata nikinywa siyo mbaya kumbe nikinywa nitaharibu kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…