Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Ulifukuzwa kisa nini Mkuu wanguHapana mkuu shule nilifukuzwa lakin sasa nafanya mpango wa kutafuta shule nyingine
Usinywe Mkuu kwanza !!! DaahChanzo ni papuch mkuu nilikutwa namtafuna mwalimu nikafukuzwa
kwahiyo mkuu nikinywa maziwa nitaharibu dawa? Maana nina maziwa hapa nataka niyapige
We kata moto tu mkuuHad baada ya mda gan mkuu
Atakuwa na ngoma huyu dogohii sio ngoma
Ulipatwa na shida gani kijanaNimepona mkuu sasa tuko pamoja
Acha wake za watu mkuu watakuja kukuuaNiliumwa sana mkuu nahisi nililogwa
Kufa tuSawa mkuu