yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Mkuu sijui kuhusu themostat kwakweli. Maana mi tangu nilinunue nalitumia dukani, huwa naliwasha saa moja asubuhi ikifika saa saba mchana nazima hadi kesho tena, maana linakuwa limepoza vya kutosha. Ndo nimezoea hivyo kila siku. Kuhusu maongez ya bei mpaka ulione kwanza.Mku naomba kujua kama lina dhemostate yaani ubaridi ukizidi huwa linajizima lenyewe?
Je kwa amount uliyoiweka maongezi yapo?
Na Dar unapatikana wapi kwani mm nipo Dar Pugu
Kimara ipi Mku.Mkuu sijui kuhusu themostat kwakweli. Maana mi tangu nilinunue nalitumia dukani, huwa naliwasha saa moja asubuhi ikifika saa saba mchana nazima hadi kesho tena, maana linakuwa limepoza vya kutosha. Ndo nimezoea hivyo kila siku. Kuhusu maongez ya bei mpaka ulione kwanza.
Na uzuri nalitumia mimi mwenyewe tangu linunuliwe.
Nipo Kimara, karibu ulione.
Korogwe. Imenunuliwa 2019Kimara ipi Mku.
Ulilinunua mwaka gani.
Asante
Mku kesho nitakuja kuiangalia kwani nina safari ya huko.Mzigo upo bado
Wewe njoo tutaongea ukishaliona mkuuMku kesho nitakuja kuiangalia kwani nina safari ya huko.
Ila kama nilivyokuuliza maongezi yapo.
Asante
Asante mkuu. Liko vizuri maana nimelitumia mwenyewe kwa umakini tangu litoke dukani.Lipo vizuri hata kwa muonekano tu.
All the best
Mku naomba kujua kama lina dhemostate yaani ubaridi ukizidi huwa linajizima lenyewe?
Je kwa amount uliyoiweka maongezi yapo?
Na Dar unapatikana wapi kwani mm nipo Dar Pugu
Mkuu nimeahirisha kuuza maana lengo lilikuwa niuze ili ninunue fridge la kudisplay,. lakini tayari nimeahidiwa kupewa la kampuni. Kwahiyo siuzi tena labda nikilikosa hilo ndo nitakuja kutangaza tena.Leo ndugu yangu nimeshindwa kwani kuna jambo limenibana.
Ila jumanne nina uhakika wa kuja huko.
Asante