omari Abdallah a
New Member
- Nov 12, 2013
- 1
- 0
Kwa yoyote yule mwenye kutafuta gari la kazi tone 3 na nusu mitsubishi canter la mwaka 2003 ninalo mimi ninauza liko zanzibar halina matatizo yoyote yale , nilikuwa natumia kwa shuhuli zanzu za ujenzi wa nyumba yangu na nimelichukuwa kutoka uengereza ni ni mwaka wa 3 sasa liko zenj na nimemaliza chuhuli za ugenzi hivi sasa ninaliuza . Kama utakuwa unapenda kuliona na au kununua wasiliana nami no yangu hii 0772846517 jina omari abdallah unaweza kunipigia simu wakati wowote bei ni million 25 lakini mazungumzo yapo , kari lenyewe ndio hilo hapo chini kwenye picha za attachments ,unakaribishwa kuja kuliona wakati wowote.