Ninauza gari langu la lorry mitsubishi canter yrs 2003 tipper

omari Abdallah a

New Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Kwa yoyote yule mwenye kutafuta gari la kazi tone 3 na nusu mitsubishi canter la mwaka 2003 ninalo mimi ninauza liko zanzibar halina matatizo yoyote yale , nilikuwa natumia kwa shuhuli zanzu za ujenzi wa nyumba yangu na nimelichukuwa kutoka uengereza ni ni mwaka wa 3 sasa liko zenj na nimemaliza chuhuli za ugenzi hivi sasa ninaliuza . Kama utakuwa unapenda kuliona na au kununua wasiliana nami no yangu hii 0772846517 jina omari abdallah unaweza kunipigia simu wakati wowote bei ni million 25 lakini mazungumzo yapo , kari lenyewe ndio hilo hapo chini kwenye picha za attachments ,unakaribishwa kuja kuliona wakati wowote.
 

Attachments

  • Photo0159.jpg
    289.5 KB · Views: 239
  • Photo0160.jpg
    266.4 KB · Views: 236
  • Photo0161.jpg
    272 KB · Views: 274
  • DSCF4007.JPG
    355.3 KB · Views: 275
Tafadhali mods mpeni huyu status ya VERIFIED USER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…