Pastor steven mdoe
Senior Member
- Jan 13, 2016
- 113
- 34
Shingap
Upo wapi
Gari ni ya mwaka 2005 capacity engine ccm 990 imetembea km 52400 no DEX
Picha nitaweka asbhi kukiwa na mwanga
Mawasiliano 0715060183
0756060183
Angalia picha ya tatu utaona bampa ya tairi kama imekatika. Nahisi inabidi muuzaji aseme na mapungufu ya gari hiyoKwanin unaliuza?
Angalia picha ya tatu utaona bampa ya tairi kama imekatika. Nahisi inabidi muuzaji aseme na mapungufu ya gari hiyo
Umemjibu kwa Hekima sana Rev. Hongera sana maana watu wengine uhuliza maswali ya kupandisha jazba lakini Hekima ni Njema sana.Nadhani macho yako yamekudanganya ila ukweli ni huu, haina tatzo ya bamba wala shida nyinginezo
Kwa uhakika zaidi ukiwa serious unawza kuliona kwa uchunguzi zaidi