Pastor steven mdoe
Senior Member
- Jan 13, 2016
- 113
- 34
Ni kweli kabisa mkuu. Last week nilikuwa Kivule nachukua coordinates za kiwanja cha mteja wangu fulani. Kwa bahati mbaya nilipokuja kukiangalia sehemu kilipo ni katikati ya eneo la shule. Bahati yake hakuwa amejenga.Watu wengi wananunua maeneo bila kuangalia ramani ya mipango miji. Tuwe makini ili kuepuka hasara
Ni kweli kabisa mkuu. Last week nilikuwa Kivule nachukua coordinates za kiwanja cha mteja wangu fulani. Kwa bahati mbaya nilipokuja kukiangalia sehemu kilipo ni katikati ya eneo la shule. Bahati yake hakuwa amejenga.
Haiwezekani eneo kupimwa huku halina michoro ya mipango miji. Ila kuna uwezekano wa eneo kuwa limechukuliwa coordinates na zikaangaliwa na ikaonekana hilo eneo halijaandaliwa mchoro.mkuu kwa maeneo ambayo wizara ya ardhi wamepima wakasema bado hayajatolewa ramani ya mipango miji inakuwaje hapo?
Kiwanja kipo jirani na Goba mjini ukubwa 40 kwa 50
Bei 35ml
Pako vizr pamejengwa kwa mpangilio mzuri mitaa ya kueleweka na njia nzr hadi kwenye plot.
Mawasiliano 0756060183/0715060183