N nsitta Member Joined Jan 30, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Jun 8, 2014 #1 Habari wana - JF, ninauza kuku wa kienyeji kilo moja na nusu mpaka 2, kila mmoja TS. 20,000. Wapo kuku zaidi ya 80. Kama kuna mwenye interest ya kununua sms tafadhali kwa 0784-026-809. Eneo goba. Asanteni na karibuni.
Habari wana - JF, ninauza kuku wa kienyeji kilo moja na nusu mpaka 2, kila mmoja TS. 20,000. Wapo kuku zaidi ya 80. Kama kuna mwenye interest ya kununua sms tafadhali kwa 0784-026-809. Eneo goba. Asanteni na karibuni.
legend07 JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 333 Reaction score 137 Jun 8, 2014 #2 Wenzio wanauza 15000 we bei ya wap hyo
The Giant JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 504 Reaction score 96 Jun 8, 2014 #3 Hâta 15 nawasiwasi. Kuku ni wengi wa kienyeji ni wengi kwa sasa.
deepsea JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 3,287 Reaction score 947 Jun 8, 2014 #4 Hiyo buku 20 napata kuku wa kienyeji kitu safi kutoka singida na chenji inabaki ya viungo hapo sokoni dar hii
Hiyo buku 20 napata kuku wa kienyeji kitu safi kutoka singida na chenji inabaki ya viungo hapo sokoni dar hii
Rugaijamu JF-Expert Member Joined Jul 10, 2010 Posts 2,942 Reaction score 1,302 Jun 8, 2014 #5 Kama ndo bei yake hyo,basi ntakuwa tajiri muda mfupi ujao.
A Alan Madiga Member Joined Apr 28, 2013 Posts 26 Reaction score 2 Jun 8, 2014 #6 Mimi nauza kuku wa kienyeji kwa Tshs 12000/= jogoo na mitetea 9500/= nipo kilosa morogoro. Mayai pia trei moja Tshs 11500/= SMS 0762337233
Mimi nauza kuku wa kienyeji kwa Tshs 12000/= jogoo na mitetea 9500/= nipo kilosa morogoro. Mayai pia trei moja Tshs 11500/= SMS 0762337233
N nsitta Member Joined Jan 30, 2013 Posts 7 Reaction score 0 Jun 9, 2014 Thread starter #7 Asanteni kwa mrejesho wana JF.
mpuko JF-Expert Member Joined Dec 21, 2013 Posts 662 Reaction score 555 Jun 9, 2014 #8 nsitta said: Asanteni kwa mrejesho wana JF. Click to expand... Una busara.