Ninauza kuku wa kienyeji

nsitta

Member
Joined
Jan 30, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Habari wana-JF,

nina kuku wa kienyeji ninauza. Kilo kati ya 1.5kgs na 2kg ninauza Tsh.20,000 kila mmoja. Wapo zaidi ya 80. Eneo Dar es salaam maeneo ya goba. Namba 0784-026-809. Sms plz kwa mwenye interest.
 
Asante Danpol, wadogo nilio nao wana wiki 6. Waliotayari kuuzwa ni hawa wakubwa tu. Ulikuwa unahitaji wadogo umri gani.. Siku 1? Wiki 1?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…