Ninauza kuku wa kisasa (Bloiler)

Ninauza kuku wa kisasa (Bloiler)

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habarini

nauza kuku wa kisasa Broiler

kwa jumla ni tshs 5000/- mpaka 4800/= kwa kuku 100
na ni kwa rejareja ni 7500/= kwa kuku umtakaye

kwa anayehitaji aniPM nami nitawasiliana naye niko dar
 
Kwa rejareja utawapata kuanzia mmoja na kuendelea ni tsh 7500/= kama unahitaji utaletewa ulipo au nitakuelekeza bandani kwangu kitunda uje kama utaweza
karibu sana
naweza kununua reja reja? Mi nahitaji wa kula tu kununua unaanzia wangapi kuuza?

Mimi sio shosti niolikuwa nakuzingua tu
 
Back
Top Bottom