ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Dar kubwa bi shosti
napatikana dar kinondoni niPM nitakuelekeza shosti uje karibu
naweza kununua reja reja? Mi nahitaji wa kula tu kununua unaanzia wangapi kuuza?
Mimi sio shosti niolikuwa nakuzingua tu
Kwa rejareja utawapata kuanzia mmoja na kuendelea ni tsh 7500/= kama unahitaji utaletewa ulipo au nitakuelekeza bandani kwangu kitunda uje kama utaweza
karibu sana
Mmhh nikitaka kwa leo leo?
Mbona nikituma msg kwako haziji inbox yako imejaa