Mwananzengoo Member Joined Jun 8, 2014 Posts 56 Reaction score 25 Jun 13, 2014 #1 Ninauza bodi la tipper isuzu txd 50 (isiyokuwa na engine na excel ) kwa mil. 7.2/- . serious buyer call call 0784529685 Attachments 1402669371123.jpg 91.6 KB · Views: 358 1402669408407.jpg 84.9 KB · Views: 311 1402669459016.jpg 89.1 KB · Views: 451
Ninauza bodi la tipper isuzu txd 50 (isiyokuwa na engine na excel ) kwa mil. 7.2/- . serious buyer call call 0784529685
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 Jun 13, 2014 #2 Mkuu mbona kama bustani.
Onduru Ogy JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 1,136 Reaction score 1,179 Jun 13, 2014 #3 Hiyo fugia kuku mkuu au Chatu kabisa
V viking JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 2,183 Reaction score 1,322 Jun 14, 2014 #4 onduru ogy said: Hiyo fugia kuku mkuu au Chatu kabisa Click to expand... Mimi nataka hiiyo miti iliyoota kwenye gari kwa mil 3
onduru ogy said: Hiyo fugia kuku mkuu au Chatu kabisa Click to expand... Mimi nataka hiiyo miti iliyoota kwenye gari kwa mil 3
Rich Pol JF-Expert Member Joined Oct 11, 2013 Posts 7,874 Reaction score 5,685 Jun 14, 2014 #5 Mkuu tafuta watu wanaonunua vyuma chakavu upatane nao.
NG'HOMELE JF-Expert Member Joined Jan 13, 2014 Posts 470 Reaction score 147 Mar 18, 2024 #6 Je bado lipo hili body mkuu au lilishauzwa?
M mwanadodoma JF-Expert Member Joined Mar 12, 2024 Posts 344 Reaction score 653 Mar 20, 2024 #7 NG'HOMELE said: Je bado lipo hili body mkuu au lilishauzwa? Click to expand... Tangu 2014 mpaka 2024 litakuwepo kweli??
NG'HOMELE said: Je bado lipo hili body mkuu au lilishauzwa? Click to expand... Tangu 2014 mpaka 2024 litakuwepo kweli??