Ninauza mashudu ya alizeti na mashudu ya pamba, Mwenye soko au uhitaji tafadhali tuwasiliane

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Habari Wakuu..

Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza, ninauza mashudu ya alizeti na mashudu ya pamba kwa wingi zaidi. Kwa anayehitaji awasiliane na mimi kupitia email; naswily@outlook.com.
au ni'pm.

Oda kuanzia tani 30. Mzigo uliopo ni zaidi ya tani 2000 mashudu ya alizeti na tani 2000 mashudu ya pamba. Kama una soko Tanzania au nje ya nchi tafadhari changamkia fursa hii adhimu ya kutengeneza pesa.

Asanteni na karibuni.
 
Tulio wengi ni wafugaji wadogo, sasa oda minimum tani 30, well watakuja.
 
M
Habari Wakuu..

Kama ambavyo kichwa cha habari kinajieleza, ninauza mashudu ya alizeti na mashudu ya pamba kwa wingi zaidi. Kwa anayehitaji awasiliane na mimi kupitia email; naswily@outlook.com.
au ni'pm.

Oda kuanzia tani 30. Mzigo uliopo ni zaidi ya tani 2000 mashudu ya alizeti na tani 2000 mashudu ya pamba. Kama una soko Tanzania au nje ya nchi tafadhari changamkia fursa hii adhimu ya kutengeneza pesa.

Asanteni na karibun

masoko mengi yapo dsm: kikubwa weka bei na na mahali ulipo.
 
Back
Top Bottom