Ninauza mchele super

Ninauza mchele super

pmama

Member
Joined
May 8, 2021
Posts
42
Reaction score
25
Habari ,ninauza mchele super kwa 1700, hakuna haja ya kuuchambua ni wakuosha tu na kupika ,pia unanukia na kuchambuka vizuri ukipikwa.Ninakufikishia mzigo kokote ndani ya dar es salaam kuanzia 10kgs na kuendelea.

Kwa wauzaji wa jumla ,karibuni store kwangu (chanika) ujipatie gunia la kilo 100 kwa 145,000.

Mawasiliano : 0683852432.

Karibuni

IMG_20210107_091019_432.jpg
 
Mbona hiyo ndo bei kila sehemu ingekua 1500 hapo poa u ngeniletee kilo 50 hapa Mbezi
 
Nampango wa kuja chanika kupaona...naona vitu bei poa sana...
 
Habari ,ninauza mchele super kwa 1700, hakuna haja ya kuuchambua ni wakuosha tu na kupika ,pia unanukia na kuchambuka vizuri ukipikwa.Ninakufikishia mzigo kokote ndani ya dar es salaam kuanzia 10kgs na kuendelea.

Kwa wauzaji wa jumla ,karibuni store kwangu (chanika) ujipatie gunia la kilo 100 kwa 145,000.

Mawasiliano : 0683852432.

Karibuni

View attachment 1871968
Kila la kheri mkuu. Ufanikiwe katika juhudi zako. Nsomba senator Saint Anne aje kuthaminisha huu ubwa bwa kama una viwango tunawezafanya biashara kwa majaribio.

Nilinunua mchele sehem, kwa macho na mzuri lakini ukipikwa hauna ile harufu ya wali kabisa, haunukii unafikiri umekaa muda mrefu.
 
Amen ,karibu sana Boss
 
[emoji23]
Huu kwa kutazama haraka upo vizuri.
Japo huku kwetu bei inapungua zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom