Kila la kheri mkuu. Ufanikiwe katika juhudi zako. Nsomba senator Saint Anne aje kuthaminisha huu ubwa bwa kama una viwango tunawezafanya biashara kwa majaribio.Habari ,ninauza mchele super kwa 1700, hakuna haja ya kuuchambua ni wakuosha tu na kupika ,pia unanukia na kuchambuka vizuri ukipikwa.Ninakufikishia mzigo kokote ndani ya dar es salaam kuanzia 10kgs na kuendelea.
Kwa wauzaji wa jumla ,karibuni store kwangu (chanika) ujipatie gunia la kilo 100 kwa 145,000.
Mawasiliano : 0683852432.
Karibuni
View attachment 1871968
Karibu sanaNampango wa kuja chanika kupaona...naona vitu bei poa sana...
Amen ,karibu sana BossKila la kheri mkuu. Ufanikiwe katika juhudi zako. Nsomba senator Saint Anne aje kuthaminisha huu ubwa bwa kama una viwango tunawezafanya biashara kwa majaribio.
Nilinunua mchele sehem, kwa macho na mzuri lakini ukipikwa hauna ile harufu ya wali kabisa, haunukii unafikiri umekaa muda mrefu.
[emoji23]Kila la kheri mkuu. Ufanikiwe katika juhudi zako. Nsomba senator Saint Anne aje kuthaminisha huu ubwa bwa kama una viwango tunawezafanya biashara kwa majaribio.
Nilinunua mchele sehem, kwa macho na mzuri lakini ukipikwa hauna ile harufu ya wali kabisa, haunukii unafikiri umekaa muda mrefu.
[emoji23]
Huu kwa kutazama haraka upo vizuri.
Japo huku kwetu bei inapungua zaidi ya hiyo.
Muungisheni tu mdau.Sasa tunafanyaje hapo Senator?
Nilipo kama huo kilo 850Mbona hiyo ndo bei kila sehemu ingekua 1500 hapo poa u ngeniletee kilo 50 hapa Mbezi
Wapi huko? Si kweliNilipo kama huo kilo 850
Muungisheni tu mdau.
Mtakaponunua kule,huo mchele hadi kuwafikia nyie bei itafikia ya mdau.
kama yupo mbeya au ifakara utabishana nae??Wapi huko? Si kweli
Nipo nkasi kama ushawah kupaskia ni pembezoni kidogo ya mjiWapi huko? Si kweli
Nkasi (wilaya). Katavi moja hiyoNipo nkasi kama ushawah kupaskia ni pembezoni kidogo ya mji
Nshapasikia sana duuu!Nipo nkasi kama ushawah kupaskia ni pembezoni kidogo ya mji
Nipo huku sema mchele mwingi wa huku unaenda congo drcNshapasikia sana duuu!
Na bei ya sembe ipoje kama mchele ni bei hiyo?Nilipo kama huo kilo 850
Mahindi debe 6000, kukoboa na kusaga kama 1800 jumla 7800 apo unapata kg 15 za ungaNa bei ya sembe ipoje kama mchele ni bei hiyo?